banner

Karibu AKILISMS

Bulk SMS System kutoka AKILIKUBWA COMPANY LIMITED

Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Wa Level ya chini na ya kati Tanzania.

Matumizi

Matumizi ya AKILISMS.

AKILISMS inafanya iwe rahisi kutuma SMS moja kwa WATU wengi kutoka kwenye simu yako, hata kama hauna Laptop/Computer.

  • Kutangaza ofa au Discount kwenye bidhaa
  • Kukumbusha wateja walioweka AHADI
  • Kutoa Taarifa kwa wateja kuhusu mzigo mpya au huduma mpya
  • Kujenga mahusiano ya karibu na ya kudumu na wateja
  • Kutoa taarifa kwa vikundi, makanisa, taasisi n.k
about
about

Faida Zake

Faida za Kutumia AKILISMS

Tumekuletea AKILISMS, mfumo rahisi na Mobile-Friendly wa kutuma Bulk SMS, maalumu kwa wajasiriamali, biashara za level ya chini na kati, pia watu wa kawaida wanaotafuta njia bora ya kuwafikia wateja kwa uhakika.

Tumia SMS kufanya SMS-Marketing ili Kukuza Biashara Yako.
icon

kwaajili ya SMEsInakidhi mahitaji ya biashara ndogo na za kati.

icon

Mobile-Friendly Unaweza kuitumia kirahisi kwenye simu yako

icon

Reports & Contacts Mfumo unahifadhi tarifa zote Muhimu kama vile Contacts, messages, bundles etc

icon

Lugha zoteUnaweza kutuma ujumbe wowote kwa lugha unayopendelea

icon

Flexible Packages Vifurushi vya bei nafuu kulingana na ukubwa wa biashara yako.

icon

Reliable & Secure Mfumo salama wenye delivery rate ya juu bila upotevu wa SMS.

SMS Yako Inaweza Kubadili Biashara yako, Anza Leo Kutumia AKILI kukuza biashara yako kupitia AKILISMS

Jisajiri sasa
Tuandikie WhatsApp: 0686255811

Pricing

Vifurushi Vyetu.

Pata SMS zako papo hapo baada tu ya malipo kufanyika. Unaweza lipia kwa Mtandao katika Mfumo. kwa changamoto yoyote WhatsApp 0686255811

Kariakoo

sms 1 – 2,000

kifurushi cha chini kabisa, Tsh 20 kwa meseji moja

Chekereni

10,001 – 50,000

kifurushi cha kati, Tsh 16 kwa meseji moja

contact

Hatua 3 Rahisi

Jinsi ya Kuanza Kutumia AKILISMS

1. Sign Up – Fungua akaunti yako kwa haraka kwa kujaza taarifa zinazohitajika, kisha subiri kuthibitishwa.

2. Chagua Package – Tafuta kifurushi kinachokufaa.

3. Tuma SMS – Anza kutuma ujumbe wako kwa mamia au maelfu ya wateja wako.

SMS Yako Inaweza Kubadili Biashara yako, Anza Leo Kutumia AKILI kukuza biashara yako kupitia AKILISMS
Jisajiri sasa
Tuandikie WhatsApp: 0686255811
akilisms